AFRIC INVESTMENT Kampuni ya AFRIC INVESTMENT ni moja ya makampuni mengi ya mtandao ambayo yameingia hapa nchini kwetu Tanzania. Kampuni hii ilisajiliwa hapa kwetu mwaka 2015 na tangia hapo kuna baadhi ya watanzania ambao wameshanufaika sana na kampuni hii. Mimi nafikiri niseme neno moja kwamba watanzania bado hawajaielewa vizuri kampuni hii na kwa hiyo hawajaitumia fursa hii ipasavyo. Mimi binafsi naamini kuwa hii ni fursa ya kipekee kama mtu ataielewa vizuri. Katika mada hii nachambua kwa nini nafikiri hii ni fursa iliyo bora kuliko nyingi zilizopo na kueleza machache ambayo wengi hawayajui kuhusu fursa hii ili mtu aweze kutoa maamuzi yaliyo sahihi kuhusu kujiunga na fursa hii ya AFRIC INVESTMENT ili unufaike na fursa hii ya biashara.HabariBiashara ya mtandao ni kwa kila mtu. Lakini, si kila mtu anaweza kufanya biashara ya mtandao. Ni ukweli usiofichika kwamba hii ni biashara ya kushangaza ambayo inamwezesha mtu ye yote kuweza kuwa tajiri bila kujali kuwa ametokea kwenye ukoo wa matajiri au la, bila kujali elimu ya mtu au ukubwa wa mtaji wake. Inamwezesha mtu ye yote hata yule aliyetokea kwenye familia ya kimaskini ambaye hakujulikana kabisaFaida za biashara hii ni nyingi. Ni biashara isiyona ukomo wa kipato, inayokuwezesha kusafiri po pote, inakuwezesha kuifanya nchi yo yote (ukiwa kwako), na kukuruhusu kuwasaidia watu wengine wapate mafanikio wakati ukijiimarishia mafanikio yako. Inakuwezesha kujipatia FAIDA YA ASILIMIA 100% KILA BAADA YA SIKU TATU TU, mbali na hapo Inaweza kukupatia bonus za zawadi / Win ambazo ni hundi za pesa nyingi. Inakuruhusu kuishi maisha ya kisasa na ya kipekee. Lakini bado si kwa kila mtu.Kwa Nini?Kwa sababu inahitaji mtu mwenye tabia na maono ya namna fulani. Kwa hiyo, wakati nawashauri watu kujiunga na biashara hii, kila mtu anatakiwa afanye tathmini yake binafsi kuona kama ataiweza au aendelee na mfumo mwingine uliozoeleka wa kuajiriwa na kufanya kazi za 9/5; yaani saa 9 kila siku, siku 5 kwa wiki. Jitathmini na jipe majibu ya kweli. Ikiwa wewe ni aina ya watu wale ambao wamezoea kufanya kazi kwa kusukumwa na bosi, kuelekezwa na kupangiwa kila kitu cha kufanya, kama si mtu wa kujituma, na kama wewe si mtu wa kupenda kujiendeleza …. hii si fani yako! Na kama ni mtu uliyekwishalemaa na kusubiri mshahara wa kila mwisho wa mwezi, hapa patakushinda. Biashara ya mtandao inataka mtu mwenye mawazo ya kijasiriamali. Si kila mtu ana mawazo hayo. Mjasiriamali hasubiri mshahara aliopangiwa mwisho wa mwezi, bali bonasi kubwa inayotokana na kazi aliyoifanya. Kama wazo la kupima na kuona uwezowako wa kuzalisha linakusisimua, kama umechoka kabisa kupunjwa na kupangiwa kiasi cha kupata ili uendeshe maisha yako, biashara ya mtandao inakukaribisha. Biashara ya mtandao ni kwa mtu anayejiamini na mwenyewe dhamira ya kushika dira ya maisha yake mikononi mwake. Ni kwa mtu jasiri anayemini kuwa hatma ya maisha yake iko mikononi mwake na kamwe haipangiwi na mtu mwingine ye yote awaye. Kwa hiyo unahitajika kuwa mtu mwenye nafsi inayojiamini, uwe na hari ya kufanya kazi, uweze kuendesha kazi zako bila kusimamiwa na kuwa mahiri katika ufuatiliaji. Pia unahitajika kuwa mwerevu. Kwa nini werevu ….Mafanikio ya biashara ya mtandao ni kuwa na uwezo wa kuendeleza namna ya kupata mafanikio kutoka kizazi kimoja hadi kingine (Duplication). Sehemu kubwa ya ufanyaji wa biashara hii ni kunukuu njia za mafanikio zilizobainishwa na kampuni na watu walio juu yako waliokwisha pata mafanikio. Haina maana wewe huna uwezo wa kubuni njia zako, lakini kwa nini uanze kufanya majaribio wakati vitu vilivyojaribiwa na kuthibitishwa kuwa vinafaa na ambavyo watu wengi wamevitumia na kufanikiwa vipo?
REGISTRATION TOKEN NUMBER NI NUMBER TAMBUZI YA USAJILI WA MUAMALA HUSIKA WA MWANACHAMA ZINGATIA- REGISTRATION TOKEN NUMBER HAITOLEWI KABLA HUJAFANYA UWEKEZAJI